JW subtitle extractor

Historia Yetu Hatua kwa Hatua—Kufundisha Kupitia Filamu na Video

Video Other languages Share text Share link Show times

The Photo-Drama of Creation
inaletwa kwenu na I.B.S.A.,
the International Bible Students Association.
Ndani ya sekunde 60 zijazo,
familia nyingine nchini Marekani
itakabili changamoto zinazoweza
kuivunja familia hiyo . . . .
Ni nini kinaendelea? . . .
Je, ni mabishano
ya kawaida tu katika familia?
Hapana. Hali ni mbaya kuliko
inavyoonekana.
Familia hii inaathirikaje? . . .
Kufuata kanuni za Biblia husaidia
familia kuwa na msingi imara.