JW subtitle extractor

Unabii wa Kimasihi Watimizwa!—Aliangaza "Nuru Kuu" Huko Galilaya

Video Other languages Share text Share link Show times

Naye akaona roho ya Mungu.
Ikishuka.
Kama njiwa.
Huyu ni Mwanangu.
Mpendwa.
Ambaye nimemkubali.
Mwana wa Daudi.
Alipoingia hekaluni,
akakuta watu wakiuza
ng’ombe, kondoo.
Pia wale waliobadili pesa
walikuwa kwenye viti vyao.
Akamwaga sarafu
za wale waliobadili pesa.
Na kupindua meza zao.
Acha! Unafanya nini?
“Alinituma niwatangazie mateka uhuru
na vipofu kuona tena,
kuwaweka huru waliopondeka,
kuhubiri mwaka wa Yehova unaokubalika.”
Akamwambia Simoni:
Peleka mashua mahali penye kina,
kisha mshushe nyavu zenu
mvue samaki.
Yesu alitimiza
unabii mwingi wa Kimasihi.
Utimizo wa unabii mwingi
unatufunulia Masihi
aliyetabiriwa ni nani.