JW subtitle extractor

Drama ya Biblia: Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 4, 5, na 6

Video Other languages Share text Share link Show times

Je, wewe ndiye Yule Anayekuja,
au
tumtarajie mwingine?
Yesu. Rabi. Yesu. Rabi. Yesu. Rabi. Yesu. Rabi.
Sikuja kuwaita waadilifu,
Bali kuwahimiza watenda dhambi watubu
Yesu. Rabi.
Ikiwa tu unataka,
Mkoma! Asiyesafi! Mkoma! Asiyesafi!
Mkoma! Asiyesafi! Mkoma!
Unaweza kunitakasa.
Kwa nini wanafanya jambo
lisilo halali siku ya Sabato?
Je, ni halali kufanya mema
au kufanya mabaya siku ya Sabato,
kuokoa uhai
au kuua?
Kijana, ninakuambia, inuka!
Yeye ana roho mwovu.
Kwa nini unatusumbua,
wewe Yesu Mnazareti?
Nyamaza, na umtoke!
Kwa maana nilikuja kwa kusudi hilo.