JW subtitle extractor

Tunakuthamini, Dada Mpendwa

Video Other languages Share text Share link Show times

Wewe dada yangu
mwenye thamani
Ninachochewa na
imani uliyo nayo
Ninavutiwa na
kazi zako
Imefanya nikuimbie
wimbo huu
Unapochoka
Maneno ya wimbo
yakufariji
Dada mpendwa
twaona bidii yako
Watabasamu
licha ya magumu yako
Laiti ungejiona
mwenyewe
Basi ungejua kwamba
twakuthamini
Usaidiapo
wewe hujigambi
Licha ya mengi
unayofanya kwa wengine
Ukitoa zawadi
hujisifu
Unachochea wengine
wawe waaminifu
Usifikiri
imani yako bure
Yatuchochea
Dada mpendwa
twaona bidii yako
Watabasamu
licha ya magumu yako
Laiti ungejiona
mwenyewe
Basi ungejua kwamba
twakuthamini
Yehova anakuona
anajua wewe ni
wa thamani
Watumikia wengine
Dada mpendwa
twaona bidii yako
Watabasamu
licha ya magumu yako
Laiti ungejiona
mwenyewe
Basi ungejua kwamba
twakuthamini
Twataka uwe na shangwe
Yehova hatasahau
Dada mpendwa
Mpendwa
Twakuthamini
Twakuthamini