00:00:01
Karibuni tuchunguze sehemu
za Mwongozo wa Utafiti.
200:00:04
00:00:05
Ungependa kufanya utafiti
kuhusu habari gani?
300:00:08
00:00:08
Kwenye JW Library,
400:00:10
00:00:10
bofya sehemu ya Maktaba.
500:00:12
00:00:14
Kisha, gusa kitufe cha kutafuta.
600:00:15
00:00:17
Hapo, andika jambo unalotafuta.
700:00:19
00:00:20
Kwa mfano, andika hapo neno Daudi.
800:00:23
00:00:24
Angalia habari zinazopatana
na ile unayotafuta.
900:00:27
00:00:28
Bofya habari kuhusu Daudi.
1000:00:31
00:00:33
Njia nyingine ya kufika kwenye
Mwongozo wa Utafiti
1100:00:38
00:00:38
ni kubofya sehemu ya Maktaba
na kuchagua Fahirisi.
1200:00:42
00:00:43
Hapo, utaona mwongozo wa utafiti.
1300:00:45
00:00:48
Habari zimepangwa kialfabeti.
1400:00:50
00:00:50
Ili kupata habari unayotafuta,
1500:00:52
00:00:52
chagua herufi ya kwanza
ya habari hiyo.
1600:00:54
00:00:56
Ikiwa hupati neno unalotafuta,
1700:00:58
00:00:58
chagua neno lingine lenye
1800:01:00
00:01:00
maana sawa na hilo.
1900:01:01
00:01:02
Bofya neno "Daudi."
2000:01:04
00:01:06
Kila kichwa kikuu kina vichwa vidogo,
2100:01:09
00:01:09
kama vile, Habari za Jumla
na Masomo.
2200:01:11
00:01:11
ukibofya vichwa hivyo vidogo
2300:01:13
00:01:13
unapata marejeo.
2400:01:14
00:01:14
Kwa mfano,
2500:01:15
00:01:15
bofya kichwa kidogo "Masomo."
2600:01:17
00:01:18
Hapo, unaweza kuona marejeo
ya makala na video.
2700:01:22
00:01:23
Bofya kiunganishi ili ufungue
makala au kucheza video.
2800:01:26
00:01:28
Bofya tena kishale hiki,
2900:01:30
00:01:30
ili ufunge rejeo ulilofungua.
3000:01:32
00:01:38
Sasa, bofya kichwa kidogo,
"Watu wa Familia."
3100:01:40
00:01:43
Nyakati nyingine utapata
3200:01:45
00:01:45
viunganishi badala ya marejeo.
3300:01:47
00:01:47
Chagua mojawapo ya
viunganishi hivi
3400:01:50
00:01:50
ili kuona marejeo ya ziada.
3500:01:52
00:01:53
Ukipakua Mwongozo wa Utafiti,
3600:01:55
00:01:55
marejeo yaliyo kwenye
3700:01:57
00:01:57
mwongozo huo yanaweza
3800:01:58
00:01:58
kuonekana pia kwenye Biblia.
3900:02:00
00:02:01
Ili kupata marejeo hayo, chagua mstari.
4000:02:02
00:02:05
Halafu bofya kitufe cha Almasi
4100:02:08
00:02:08
ili uweze kuyaona
marejeo hayo.
4200:02:11
00:02:14
Hizi ni baadhi ya sehemu
unazoweza kutumia.
4300:02:17
00:02:18
Endelea kutumia kikamili
Mwongozo huu wa utafiti,
4400:02:21
00:02:21
Ili ujifunze mambo kwa kina
4500:02:23
00:02:23
na ujipatie hazina nyingi za kiroho.00:02:25
Mwongozo wa Kutumia “Mwongozo wa Utafiti” kwa Matokeo
-
Mwongozo wa Kutumia “Mwongozo wa Utafiti” kwa Matokeo
Karibuni tuchunguze sehemu
za Mwongozo wa Utafiti.
2
Ungependa kufanya utafiti
kuhusu habari gani?
3
Kwenye JW Library,
4
bofya sehemu ya Maktaba.
5
Kisha, gusa kitufe cha kutafuta.
6
Hapo, andika jambo unalotafuta.
7
Kwa mfano, andika hapo neno Daudi.
8
Angalia habari zinazopatana
na ile unayotafuta.
9
Bofya habari kuhusu Daudi.
10
Njia nyingine ya kufika kwenye
Mwongozo wa Utafiti
11
ni kubofya sehemu ya Maktaba
na kuchagua Fahirisi.
12
Hapo, utaona mwongozo wa utafiti.
13
Habari zimepangwa kialfabeti.
14
Ili kupata habari unayotafuta,
15
chagua herufi ya kwanza
ya habari hiyo.
16
Ikiwa hupati neno unalotafuta,
17
chagua neno lingine lenye
18
maana sawa na hilo.
19
Bofya neno "Daudi."
20
Kila kichwa kikuu kina vichwa vidogo,
21
kama vile, Habari za Jumla
na Masomo.
22
ukibofya vichwa hivyo vidogo
23
unapata marejeo.
24
Kwa mfano,
25
bofya kichwa kidogo "Masomo."
26
Hapo, unaweza kuona marejeo
ya makala na video.
27
Bofya kiunganishi ili ufungue
makala au kucheza video.
28
Bofya tena kishale hiki,
29
ili ufunge rejeo ulilofungua.
30
Sasa, bofya kichwa kidogo,
"Watu wa Familia."
31
Nyakati nyingine utapata
32
viunganishi badala ya marejeo.
33
Chagua mojawapo ya
viunganishi hivi
34
ili kuona marejeo ya ziada.
35
Ukipakua Mwongozo wa Utafiti,
36
marejeo yaliyo kwenye
37
mwongozo huo yanaweza
38
kuonekana pia kwenye Biblia.
39
Ili kupata marejeo hayo, chagua mstari.
40
Halafu bofya kitufe cha Almasi
41
ili uweze kuyaona
marejeo hayo.
42
Hizi ni baadhi ya sehemu
unazoweza kutumia.
43
Endelea kutumia kikamili
Mwongozo huu wa utafiti,
44
Ili ujifunze mambo kwa kina
45
na ujipatie hazina nyingi za kiroho.
-