JW subtitle extractor

Wasaidie Wengine

Video Other languages Share text Share link Show times

Baraza Linaloongoza
litaendelea kufanya yote linaloweza
ili kutoa msaada kwa ajili ya ndugu zetu
katika maeneo hayo yaliyoathiriwa.
Tunawapenda sana.
Asanteni kwa kutazama
habari hizi tulizowaletea.
- Hii ni JW Broadcasting
- Ningependa kusaidia.
Mimi pia.
Oh!
Ninajua nitakachofanya.
Yeeeh!
Kuna nini, Sofia?
Ninaweza kuwapa pesa hizi
akina ndugu waliopatwa na msiba?
Unaweza Sofia.
Tutazitia katika sanduku
la michango Jumapili.
Kibubu changu hakikuwa na kitu.
Mimi siwezi kusaidia.
Kuna mambo mengi unayoweza
kufanya ili kusaidia.
Kwanza, unaweza kuhifadhi
pesa ili uzitoe wakati ujao.
Pili, unaweza kuwafikiria
na usali kwa ajili yao.
Unajua, Yesu alihisi kama ninyi
alipokuwa hapa duniani.
Unakumbuka alimwambia nini
yule mtu mwenye ukoma?
“Ninataka!”
Ndiyo.
Alifanya yote aliyoweza
ili kuwasaidia wengine,
kama ninyi tu.
Mmetufurahisha sana
kwa kuwafikiria wengine.