JW subtitle extractor

Somo la 38: Mpende Jirani Yako

Video Other languages Share text Share link Show times

Huyu ni nani?
Yeye ni wa shule yetu?
Hamjambo nyote?
Tuna mwanafunzi mpya.
Jina lake ni Priya.
Kutoka India.
Eti, kutoka wapi?
Mimi sijui hiyo ni nchi gani?
Haya.
Nataka mjipange wawili-wawili tena.
Nani angependa kuwa
kikundi kimoja na Priya?
Hey Sophia.
Tutakuwa pamoja, siyo?
Umm,
sawa.
Safi sana!
Kwenye ukurasa wa kwanza
tunaweza kuanzia hapa,
tumalizie hapa.
Hapa kuna mtu.
Kwa hiyo,
Yesu alitufundisha tufanye nini
ili tuwe jirani wa kweli
kama yule Msamaria?
Sophia?
Mtu anapohitaji msaada
tumwonyeshe upendo na fadhili.
Priya!
Njoo hapa!
Habari? Naitwa Sophia.
Priya.
Napenda nguo zako.
Ulizinunua wapi?
Mama alinishonea.
Hii ni nguo za nchi yetu.
Zinaitwa shalwar kameez.
Hii ndiyo rangi ninayoipenda.
Nchini kwenu kukoje?