JW subtitle extractor

Uwe Rafiki ya Yehova Kionjo: Wewe Ni Mwenye Thamani kwa Yehova

Video Other languages Share text Share link Show times

Habari Zuri.
Oh
Habari
Unafanya nini?
Ah. Ninaenda kukutana na . . .
- Sophia.
Kwa nini unashinda naye?
Wewe huogopi kwamba
wengine wanafikiri wewe
ni tofauti?
Unamaanisha nini?
Sijui ah . . .
Acha niondoke.
Unapaswa kushinda na sisi.
Si na huyo mjinga.
Kwa kawaida
watu hawawatendei vizuri
watu ambao ni tofauti nao.
Zuri.
Twende kwenye sikukuu.