JW subtitle extractor

Wonyesho Mkubwa Zaidi wa Upendo

Video Other languages Share text Share link Show times

Mama.
Mama.
Mmh!
Uwi!
Hii hapa.
Asante!
Zuri, Ukumbusho umekaribia
na lazima uje.
Hili ni tukio muhimu sana.
Huu ni mwaliko wako
pamoja na mama yako.
Nitakueleza mengi zaidi
kwenye funzo letu.
Sawa.
Asante.
Kwa heri,
tutaonana baadaye.
Umejibu vizuri Camille.
Sasa twende kwenye
fungu linalofuata.
Unaweza kusoma?
Hamna shida.
“Watu wengi wangependa
kuwa na maisha mazuri
lakini hawana hakika ikiwa . . .”
Haya.
Sasa ni zamu yako!
Hm,
wanadamu walikuwa wakamilifu.
Adamu na Hawa
wakamwasi Yehova.
Walipoteza ukamilifu
na wakafa.
Safi!
Baadaye,
sote tulipoteza ukamilifu,
kila mtu
angezeeka na kufa.
Yesu alikuja duniani
na kuwafundisha watu
kumhusu Yehova.
Alitoa uhai wake
kwa ajili yetu.
Kweli kabisa.
Hivyo, wakati ujao
watu hawatakufa tena.
Kuna yeyote aliyewahi
kukupatia zawadi ya pekee?
Mh-hm.
Unafikiri kwa nini alikupatia?
Kwa sababu alinipenda.
Ni kweli.
Yehova na Yesu walitupatia
zawadi ya pekee.
Iliwagharimu sana
lakini walitupatia kwa sababu
wanatupenda
na wanataka tuishi milele.
Lakini nyanya alishakufa.
Zawadi hiyo itamnufaisha pia.
Ningependa kukueleza kuhusu
mtu fulani katika Biblia.
Alipitia hali kama yako
kwenye Luka sura ya 7.
Aliishi katika jiji la Naini.
Alikuwa na mume
na mtoto mvulana
lakini siku moja
mume wake akafa,
naye alibaki tu na mtoto wake.
Lakini
mwana wake akafa pia.
Walikufa wote?
Tayari alikuwa mjane
lakini sasa
alikuwa amebaki peke yake.
Siku ya mazishi,
Yesu alikuwa akisafiri kwenda Naini
na akamwona mjane huyo.
Acha kulia.
Kijana,
ninakuambia,
inuka!
Amefufuka!
Siamini macho yangu.
Ni ajabu!
Unafikiri kwa nini Yesu alimfufua?
Hmm!
Kwa sababu
aliwapenda.
Ndiyo.
Anatupenda sote,
anakupenda wewe.
Hiyo ndiyo sababu alikufa
kwa ajili yetu.
Yehova alimfufua Yesu.
Hivi karibuni
Yesu atawafufua watu
na kwa sababu alikufa
kwa ajili yetu
tunaweza kuishi milele.
Hiyo ndio zawadi bora zaidi
ambayo tumewahi kupata.
Tukihudhuria Ukumbusho
tunaonyesha shukrani.
Hmm.
Natumai mama atakuja pia.
Mama.
Aah mwanangu!
Tujitayarishe kwenda Ukumbusho?
Aah kipenzi, nimechoka sana
hatutaweza kwenda.
“Tunatazamia kuwaona jioni
tuambieni ikiwa mtahitaji usafiri.”
Ni mama yake Sophia.
Mama tujitahidi kwenda!
Sawa mwanangu.
Asante mama!
Mama.
Niambie binti yangu?
Ninafurahi unajifunza Biblia.
Mimi pia.
Sasa, tutapitisha divai.
Unaporudi nyumbani leo,
fikiria jinsi dhabihu ya Yesu
inavyokunufaisha.
Wah!
Mama!
Njoo twende.
Zuri!
Angalia nyuma.
Zuri!
Nyanya.
Ni wewe!
Mjukuu wangu!
NIlikukosa.
NIko hapa sasa.
Yehova ametuonyesha upendo
kwa njia nyingi sana
lakini alipomtoa Yesu
afe kwa ajili yetu,
huo
ulikuwa wonyesho mkubwa zaidi
wa upendo.