JW subtitle extractor

Tazama! Kijakazi wa Yehova!

Video Other languages Share text Share link Show times

Salamu wewe uliyebarikiwa sana
Yehova yuko pamoja nawe
lakini Maria akahangaishwa sana
na maneno aliyoambiwa
naye akaanza kufikiria
maana ya salamu hizo.
Usiogope Maria
kwa maana umepata kibali cha Mungu
Tazama!
utapata mimba
na kuzaa mwana
nawe utamwita
Yesu.
Huyo atakuwa mkuu
naye ataitwa mwana wa aliye juuu zaidi
na Yehova Mungu
atampa kiti cha ufalme
cha Daudi Baba yake
naye yatatawala akiwa Mfalme
juu ya nyumba ya Yakobo milele
na ufalme wake hautakuwa na mwisho.
Hilo litawezekanaje,
kwa kuwa
sina uhusiano wa kingono na mwanamume?
roho takatifu itakuja juu yako
na nguvu za alie juu zaidi zitakufunika
kwa hiyo
yule atakayezaliwa ataitwa mtakatifu
Mwana wa Mungu
Tazama!
Hata Elisabeti mtu wako wa ukoo
anna mimba ya miezi sita
ingawa amezeeka,
yule anayejulikana kuwa tasa
atazaa mwana
kwa sababu kwa Mungu
hakuna tangazo lisilowezekana.
Tazama!
Kijakazi wa Yehova!
Na itendeke kwangu
kulingana na tangazo lako.
Kisha
malaika akaondoka.